Hii ndiyo List ya kwanza ya mastaa watakao perfom kwenye tuzo za Grammy, 2015
Listi ya kwanza ya wasanii watakaopanda jukwani usiku huo ni pamoja na Madonna, Ariana Grande,Ed Sheeran, Eric Church na Rock Legends.
Sherehe za tuzo hizo zitafanyika February 8, 2015
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment