Tuesday, November 8, 2016

KAMA ULIKOSA KULIONA PAMBANO LA COASTAL UNION NA NJOMBE MJI, ANGALIA HAPA



 Kiungo wa Coatal Union ya Tanga, Michael Minda (10) mgongoni akiwa amekabwa na wachezaji wa Njombe Mji wakati wa mchezo ligi daraja la kwanza (FDL) uwanja wa Mkwakwani juzi. Njombe Mji ilishinda bao 1.




 Mshambuliaji wa Njombe Mji, Willy Mgaya, akiwazuia wachezaji wa Coastal Union wakati wa mchezo ligi daraja la kwanza (FDL) uwanja wa Mkwakwani juzi. Njombe Mji ilishinda bao 1.


 Wachezaji wa Njombe Mji wakigombea mpira na wachezaji wa Coastal Union wakati wa mchezo ligi daraja la kwanza (FDL) uwanja wa Mkwakwani juzi. Njombe Mji ilishinda bao 1.

Kipa wa Njombe Mji, Saleh Libenanga, akidaka mpira wa kichwa ambao ulikuwa ukielekea langoni mwake wakati w amchezo ligi daraja la kwanza (FDL) uwanja wa Mkwakwani juzi. Njombe Mji iliibuka na ushindi wa bao 1.

No comments:

Post a Comment