Tuesday, November 8, 2016

KAMA YUJAWAHI KUMUONA AU KULA SAMAKI BUNJU BEI YAKE NI 10,000



 Samaki aina ya Bunju akiwa amewekwa juu ya meza bandarini Sahare Tanga kusubiri mteja, Samaki huyo aina ya Bunju aliuzwa kwa shilingi 10,000.







Mchuuzi wa samaki soko la Sahare Tanga, Salim Mussa, akimnadi samaki aina ya Bunju ambaye aliuzwa kwa shilingi 10,000.

No comments:

Post a Comment