Wizara ya afya nchini Kenya imetoa orodha ya peremende, keki na biskuti bidhaa ambazo inadai zimewekwa bangi jambo ambalo limewashtua watu wengi wakiwemo wanafunzi wa shule na watoto nchini humo. keki na mandazi zilipatikana
zikiwa na bangi baada ya kufanyiwa uchunguzi. Licha ya watoto kuvipenda
bidhaa hizo sSrikali inataka vipiGwe marufuku na kuondolewa kabisa
madukani na pia wachuuzi kuzuiwa kiziuza.
Kupitia kwa barua kwenda
kwa wakuu wa afya wa kaunti zote 47 nchini Kenya, wizara ya afya
imewaamrisha maafisa kukagua maduka yote, maduka ya jumla na sehemu
zingine bidhaa hizo zinaweza kupatikana.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment