Kuna hizo Hotel za kifahari zipo katikati ya ya maji nimekusogezea hapa…

Katika pitapita zangu kwenye mitandao nimekutana na hizi hoteli zenye
mvuto zaidi dunini ambazo zimejengwa ndani ya maji mtu wangu.
Unaweza kuzitazama na kuniambia ipi imekuvutia zaidi..

1. Hydropolis underwater Hotel-Dubai

2. Maldives Hotel-Dubai

3. The Palm Dubai Underwater Hotel

4. Trilobis underwater Hotel

5. The Shimao Wonderland, China

6. Sunrise Hotel-China

7. Huvafen Fushi, Maldives

8. Water Discus Hotel, Dubai

9. Crescent Hydropolis, Dubai

10. Apeiron Island Hotel, Dubai

11. The Poseidon Underwater Resort, Fiji

12. The Huffington- Canada

13. Great Barrier Reef Resort-Australia

14. Antique Plaza Hotel Hong Kong-China

15. Poseidon Hotel-USA

16. Katikies Hotel in Santorini- Ugiriki
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment