Chelsea imevunja rekodi ya Spurs

Moja kati ya michezo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu usiku wa leo November 26 ni mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Tottenham Hotspurs katika uwanja wa Stamford Bridge, huu ni mchezo ambao Spurs walikuwa wanaingia Stamford Bridge wakiwa hawajakubali kufungwa hata mchezo mmoja msimu huu.

Msimamo wa EPL baada ya mechi za leo November 26 2016
No comments:
Post a Comment