Wanafunzi
wa darasa la nneshule ya Jabir Bin Zaid
English Midium Schoolbarabar ya 7 Tanga
wakipanga meza na viti kujiandaa na mtihani wa Taifa leo. Tangakumekucha inawatakia wanafunzi wote nchi mitihani mwema na Mungu awajaze ufahamu na kuwza kufaulu (AMIN)
No comments:
Post a Comment