BIASHARA SAMAKI, MOSHI
Wafanyabiashara
wajasiriamali wanawake soko la Manyema manispaa ya mji wa Moshi Mkoani
Kilimanjaro wakipaa samaki aina ya Sato ambao
huvuliwa katika bwawa la Nyumba ya Mungu. Ndoo moja kwa bei ya jumla ya samaki aina ya Sato huuzwa kwa shilingi 20,000.
Nyumba ya Mungu zinapatikana Perege, sato zipo huku Mwanza, japo zinafanana kwa mwonekano kama Muhindi na Muarabu
ReplyDelete