Polisi wametoa tamko hili kuhusu Maandamano ya Lowasa Aug 10
Muda mfupi uliopita kupitia kituo cha ITV kwenye taarifa ambazo zimetolewa na kituo hicho zinasema kuwa Jeshi la Polisi Tanzania limekataza Maandamano ya Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowasa wakati akienda kuchukua fomu ya kugombea Urais.
No comments:
Post a Comment