Mfalme mteule wa Thailand kuthibitishwa Desemba mosi
![Mwana mfalme Vajiralongkorn](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_uolguItfNzpqC3aqbW_49KZArGX-XyfTZgwK0FxAhO8GWTiBXOM7MKFFFuCLcg41vMtqy-tIxB-yf_0B45nmL5jJAuHoI0yN9cCl0ZrU8VSiHjVcf0UpAIQoevgP4TwFyJ6Qo_P28ZN_qC5kmDlmAElp7Dt313V1IcYUdSxctE5LJShPPFtH9rzrHdfZSC5yZ1=s0-d)
![Vajiralongkorn ana mtoto mmoja wa kiume aliyempata na mke wake wa zamani Srirasmi](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_uyM7EV3KfTWKAhvkUjNH1Up27MLO_9RB6wjQPilwzd0CIDkC-xWgVN7rKJ1qjG3OnDnMtu7o_awoIv0xHND7Q293pe1Kex5QRY9syfsNlVTcHavHa_H8Sjz9TOm0I-Kbv1UJ0v64EE8A-6kW8ZTBLqrvf9fiDxxvr9hxfHu2pFRTisnW5oNvuCvDTJ9FDNRDE=s0-d)
BBC imetaarifiwa
kwamba mfalme mteule mtarajiwa wa Thailand Vajiralongkorn
atathibitishwa rasmi kama mfalme ajaye Desemba mosi.
Mwana
wa mfalme huyo ambaye pia ni mfalme mtarajiwa alitarajiwa kupakwa
mafuta na kutawazwa katika kipindi ama baada ya maziko ya babake ,
mfalme King Bhumibol Adulyadej, aliyefariki wiki tatu zilizopita,
kutokana na yeye mwenyewe kuomba muda wa kumuomboleza babake.
BBC
No comments:
Post a Comment