WATU 250 WAPOROMOKEWA NA GOROFA , WAHOFIWA KUFA, COLOMBIA
Mamlaka ya jeshi la Colombia inasema
idadi ya waliofariki katika maporomoko ya ardhi nchini humo imefikia
watu 250 huku waliojeruhiwa wakiwa 400.
Hata hivyo idadi hiyo huenda ikaongezeka kwani bado kuna zaidi ya watu 200 ambao hawajapatikana .
Vikosi
vya wafanyikazi wanaoendesha shughuli za uokoaji wanasema nyingi ya
barabara za kulipotekea maporomoko hayo huko eneo la mji wa kusini mwa
taifa hilo, Mocoa hazipitiki kutokana na mkasa huo.
BBC
No comments:
Post a Comment