Madereva wa
pikipiki na bajaj Tanga wakiwa katika mafunzo ya udereva ya matumizi
salama ya barabarani na athari ya kutumia vilevi wakati wakiendesha
vipando vyao yaliyoendeshwa na kikosi cha usalama barabarani makao
makuu Dar es Salaam yaliyofanyika kwa siku moja na kupatiwa vyeti leo katika ukubi wa Polisi Mess Tanga.
No comments:
Post a Comment