Hizi ni Sababu za Mourinho kumlaumu Doctor wa Chelsea baada ya sare 2-2- dhidi ya Swansea
Baada ya kutoka sare ya goli 2-2 dhidi ya Swansea City katika mechi ya kwanza ya ufunguzi wa Ligi Kuu Uingereza, kocha wa Chelsea Jose Mourinho baada ya matokeo hayo hakupeleka lawama zake kwa muamuzi Michael Oliver ambae alimuonyesha kadi nyekundu golikipa wa Chelsea Thibaut Courtois na kutoa penati kwa Swansea.
“Sikufurahishwa
na daktari wa timu kwa sababu anatakiwa aelewe mechi ilivyo, hata kama
mtunza vifaa, doctor au Secretary ukiwa katika benchi unatakiwa uelewe
mchezo na unatakiwa kujua tuna mchezaji mmoja pungufu na unapoingia
uwanjani kumpatia huduma mchezaji unatakiwa kuhakikisha kuwa mchezaji
ana tatizo kubwa na nina uhakika Eden hakuwa na tatizo
kubwa”>>>Mourinho
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment