Full time ya Chelsea vs Swansea City na matokeo mengine ya EPL nimeweka hapa
Baada ya Manchester United na Tottenham Hotspur kufungua dimba la mechi za ligi kuu ya Barclays Premier League – Mabingwa watetezi wa kombe hilo Chelsea nao jioni hii walianza utetezi wa kombe hilo kwa kucheza dhidi ya Swansea.Mchezo uliopigwa katika dimba la Stamford Bridge umemalizika kwa sare ya 2-2.
Matokeo Mengine ya BPL
Man Utd 1-0 Spurs
Bournemouth 0-1 Aston Villa
Everton 2-2 Watford
Leicester 4-2 Sunderland
Norwich City 1-3 Crystal Palace
No comments:
Post a Comment