Wachezaji wa timu ya Coastal Union ya Tanga, wakifanya
mazoezi kujiandaa na ligi kuu ya Tanzania katika uwanja wa shule ya Popatlal leo jioni hii
Kocha mkuu wa Coastal Union (Mganda) Jackosn Mayanja,
akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi kujiandaa na ligi kuu
Tanzania Bara uwanja wa shule ya Popotlal leo jioni hii
No comments:
Post a Comment