Mtu wa mwisho kutembea kwenye Mwezi, Gene Cernan, alifariki dunia mapema wiki hii akiwa na umri wa miaka 82.
Alikuwa
kamanda wa chombo cha safari za anga za juu cha Apollo 17 mwaka 1972 na
miongoni mwa watu watatu waliofika mwezini mara mbili.Lakini kuna watu wengine 11 waliomtangulia kufika na kuukanyaga Mwezi. Ni nani hao?
Neil Armstrong (1930 - 2012) na Edwin 'Buzz' Aldrin (alizaliwa 1930)
Buzz Aldrin alimfuata.
Charles 'Pete' Conrad (1930 - 1999)
Conrad mwishowe alipoukanyaga Mwezi, alisema kwa sauti: "Whoopee! Bwana, hiyo huenda ilikuwa hatua ndogo kwa Neil, lakini kwangu imekuwa kubwa sana."
Alan L Bean (alizaliwa 1932)
Michoro na picha zake kwa hivyo zina uhalisia fulani kuhusu hali ilivyo kwenye Mwezi.
Alan Shepard (1923 - 1998)
Kutokana na kiwango cha chini cha nguvu mvutano (graviti), mipira hiyo ilikwenda mbali sana kuliko inavyowezekana kwenye Dunia.
Edgar D Mitchell (1930 - 2016)
David Scott (alizaliwa 1932)
Bila idhini ya Nasa, alisafiri na stempu za posta hadi mwezini akiwa na mpango wa kuziuza baada ya kurejea nazo duniani. Hakusafiri anga za juu tena.
James B Irwin (1930 - 1991)
Lakini kwa sababu alikuwa akipumua oksijeni asilimia 100 na nguvu mvuto huko kwenye Mwezi zilikuwa chini, waliamua hakuwa hatarini.
Mpigo wa moyo wake ulirejea kawaida aliporudi duniani.
Hata hivyo, alifariki kutokana na mshtuko wa moyo miezi kadha baadaye.
John Young (alizaliwa 1930)
Wakati mmoja, aliingia na kipande cha mkate kilichotiwa mboga kwenye chombo cha anga za juu safarini.
Wakuu wa Nasa hawakufurahishwa na hilo. Lakini Young aliendelea na kazi na alisafiri anga za juu mara sita.
Charles M Duke Jr (alizaliwa 1935)
Aliwaweka hatarini wahudumu na kulazimisha mmoja wa wana anga kubadilishwa.
Harrison 'Jack' Schmitt (alizaliwa 1935)
Alikuwa kwenye Apollo 17 na alikaa siku tatu kwenye Mwezi akiwa na Gene Cernan.
Alirusha nyundo pekee waliyobeba mbali na pia aliacha vifaa vyake vya kupimia kwenye Mwezi.
No comments:
Post a Comment