Mchezaji huyo amekuwa msaada mkubwa kwa timu yake ya Cameroon kuweza kutwaa Kombe la AFCON, baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Misri kwenye mchezo wa fainali ambao ulipigwa katika dimba l'Amitie mjini Libreville na kutajwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashindano na Kamati ya Ufundi ya CAF na kikundi cha Watathmini.
Orodha ya waxchezaji wengine waliofanya vizuri katika michuano hiyo ni Mchezaji Bora wa Benjamin MOUKANDJO (Cameroon), Tuzo ya Fair Play - Misri, Mfungaji Bora-Junior KABANANGA (DRC) Mabao 3, Kikosi cha Mashindano cha CAF - Kipa Fabrice ONDOA (Cameroon),Mabeki- Modou Kara MBODJI (Senegal), Ahmed HEGAZY (Misri), Michael NGADEU (Cameroon)
Viungo-Charles KABORE (Burkina Faso), Daniel AMARTEY (Ghana), Bertrand TRAORE (Burkina Faso), Christian ATSU (Ghana), Mohamed SALAH (Misri) .
No comments:
Post a Comment