wanasiasa na watoto wao
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May alionekana kushangaa alipotembelea shule moja Cumbria wiki hii kama picha hii inavyoonesha.
Lakini si yeye wa kwanza kupigwa picha ambayo ni ya kushangaza akiwa na watoto.Msichana huyu hakutaka kumuona aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza David Cameron
Boris baadaye aliomba radhi.
Ed Balls alihitaji kusaidiwa kuinuka kutoka kwenye mkeka
Upweke Nick Clegg akila na watoto
No comments:
Post a Comment