
Mhubiri mmoja nchini Afrika Kusini amekuwa akiwapa waumia sumu ya kuua panya kama moja ya njia ya kujaribu imani yao.
Light
Monyeki, ambaye anaongoza kanisa la Grace Living Hope Ministries mjini
Pretorria, anasema kuwa kwa kunywa sumu hiyo, inaonyesha kuwa kifo
hakina nguvu kwa waumini.
Picha
kwenye ukurasa wake wa Facebook, zinamuonyesha akichanganya dawa
inayotumiwa kuua panya wa chupa na kuinywa na kisha kuwapa waumini.
BBC
No comments:
Post a Comment