Umati wa watu waukiwa umefurika hospitali ya Teule Wilani Muheza Mkoani Tanga jamaa kutambua miili ya ndugu zao waliokufa ama kujeruhiwa katika ajali la basi na Lori lililotekea kijiji cha Mkanyageni Muheza
Kila mmoja ametaharuki na kushikwa na butwaa na kutojua la kufanya na baadhi yao kuangusha vilio
Hali ilikuwa mbaya sana kwani kila mmoja alitaka kuona maiti zilizokuwa zimewekwa chini ili jamaa na marafiki kuzitambua
Hapa ni maiti zikiwa zimepangwa ili kuwapa nafasi ndugu na jamaa kuzitambua
Haikuwa rahisi kuziona maiti ila kwa nguvu na ujasiri wa kuzifikia
Hawa ni manesi wakiwa wanamuhudumia mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo, Kumekucha Blog itakuhabarisha kila linalijiri kila wakati na pembe za dunia tembelea blog hii
No comments:
Post a Comment