Kilichosemwa na Kamanda Kova na Waziri Lazaro Nyalandu kuhusu ajali ya Helikopta (Picha+Story)
Akizungumza na kituo cha ITV Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuahidi kutoa taarifa kamili juu ya tukio hilo muda mfupi ujao.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu @LazaroNyalandu ameandika hivi; “Naelekea Dar kutokea Dodoma kwenda kwenye eneo la tukio la ajali ili kuwapa pole wafiwa. Nitazidi kuwafahamisha.”
Hizi ni baadhi ya picha kutoka eneo la tukio. Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Kumekucha Blog
No comments:
Post a Comment