Al Shabaab wameteka basi tena Kenya na kufanya mauaji ya abiria.
Basi walilokuwa wanasafiria abiria hao
lilisimamishwa na kundi la watu hao na kuwaamuru washuke, kisha kuwaua
kwa kuwapiga risasi ambapo waliozungumzia tukio hilo wameilaumu Serikali
kwa kushindwa kuwapatia usalama watu hao waliouawa.
Basi hilo lilikuwa na jumla ya watu 60
ambapo wasafiri wengi walikuwa ni walimu waliokuwa wakienda likizo ya
sikukuu ambapo katika eneo hilohilo mwezi uliopita kulitokea tukio na
maafisa 7 usalama waliuawa.
Kituo cha Televisheni cha K24 TV Kenya kimeripoti taarifa hiyo
Mwisho
No comments:
Post a Comment