Hata hivyo Crystal Palace ilirudisha mabao hayo kupitia kwa Mile Jedinak , Dwight Gayle na Joe Ledley.
Matokeo haya yanaifanya Liverpool ibaki kwenye nafasi ya 12 baada ya kupoteza michezo 6 kati ya 12 ya msimu huu kwenye ligi ya England .
Mshambuliaji Ricky Lambert akiifungia Liverpool bao lao pekee kwenye mchezo dhidi ya Crystal Palace.
No comments:
Post a Comment