Kiongozi wa upinzani auawa Burundi
Kiongozi wa chama kidogo cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi.
Mwili wa Zedi Feruzi pamoja na wa mlinzi wake ulipatikana nje ya nyumba yake kwenye mji mkuu Bujumbura.Uamuzi huo ambao wengine wanasema kuwa unaenda kinyume na sheria umesababisha kuwepo kwa jaribio la kumpindua,maandamano ya wiki kadha na kuhama kwa zaidi ya watu 100,000 kutoka nchini humo.
No comments:
Post a Comment