Ireland yaamua kuhusu ndoa za jinsia moja
Wapiga kura wengi wameripotiwa kujitokeza kwenye kura ya maoni nchini
Ireland ya kuamua iwapo ndoa za watu wa jinsia moja zinaweza
kuhalalishwa .
Katika sehemu nyingine ukiwemo mji mkuu Dublin na miji mingine, idadi ya wapiga ilitarajiwa kufikia takriban asilimia 60.Wale wanaounga mkono ndoa za jinsia moja walitarajia watu wengi kujitokeza.
Matokeo yanatarajiwa kutangazwa baadaye leo.
Usiache kupitia tangakumekuchablog kukuhabarisha juu ya matokeo ambayo yanatarajiwa kutangazwa mapema kuanzia muda huu
No comments:
Post a Comment