M'barikiwa Irene Stefani atambuliwa Kenya
Maelfu ya Wakatoliki waliohudhuria sherehe mjini Nyeri, Kenya, ya kum'bariki mtawa wa kale kutoka Italia.
Irene
Stefani aliwasaidia majeruhi wa Afrika Mashariki, wakati wa vita vya
kwanza vya dunia, kabla ya kufariki kutokana na tauni mwaka 1930.Mji wa Nyeri umejaa maelfu ya watu na wengi walikesha hapo jana.
Mabaki ya mtawa huyo yatasafirishwa hadi kanisa kuu la Nyeri kesho
Wanasema maji yalitiririka kutoka mbele ya kanisa, na kunusuru maisha ya waliokuwa na kiu.
No comments:
Post a Comment