Kingine cha kujionea Africa ni hii Miji mizuri 15 inayovutia, Dar nayo imo…
Moja ya sababu zinazochangia miji kukua kwa kasi ni pamoja na
miundombinu bora na ya kisasa zaidi..miji mingi ya Afrika inaendelea
kukua kadri siku zinavyokwenda ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Hapa nimekusogezea miji 15 yenye mvuto zaidi Africa….

1. Luanda, Angola

2. Agadir Morocco

3. Nairobi, Kenya

4. Lagos, Nigeria

5. Johannesburg, Afrika Kusini

6. Cairo, Egypt

7. Port Louis, Mauritius

8. Cape Town, South Africa

9. Abdijan, Cote d’Ivoire

10. Tripol, Libya

11. Abuja, Nigeria

12. Malambo, Equatorial Guinea

13. Durban, Afrika Kusini

14. Tunis, Tunisia

15. Dar es Salaam, Tanzania
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment