List ya wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa Ligi Kuu Marekani, Gerrard, Kaka na wengineo ipo hapa..
Tumezoea kusikia mishahara ya wachezaji soka barani Ulaya kuwa mikubwa ila wengi wamekuwa wakijiuliza kwa nini mastaa kadhaa kutoka Ulaya wamekuwa wakikimbilia Ligi Kuu Marekani (MLS)? wengine usema wanafuata mishahara wengine usema Ligi Kuu Marekani (MLS) ni Ligi ya wastaafu.
September 23 nakuletea list ya mishahara ya mastaa wa soka waliowahi kucheza soka katika Ligi mbalimbali pendwa barani Ulaya, huenda ulitamani kujua mshahara wa mchezaji bora wa Dunia Ballon d’Or wa mwaka 2007 Ricardo Kaka ambaye amewahi kutamba katika vilabu vya AC Milan na Real Madrid.
Nakusogezea list ambayo imeandikwa na mtandao wa metro.co.uk ya wachezaji wanaolipwa fedha nyingi katika Ligi Kuu Marekani.
1- Ricardo Kaka
2- Steven Gerrard 3- Frank Lampard
Kiungo
wa zamani wa klabu ya Chelsea ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya New
York City FC Frank Lampard analipwa dola milioni 6 kwa mwaka.
5- David Villa
6- Sebastian Giovinco
7- Jozy Altidore,
8- Robbie Keane
9- Giovani Dos Santos
10- Clint Dempsey
Hii ni list ya wachezaji wote 18 wanaolipwa fedha nyingi na vilabu vyao katika Ligi Kuu Marekani (MLS)
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment