Du!! Tazama maziwa 10 yanayotajwa kuwa na muonekano wa moyo duniani ..(+Pichaz)
Huenda umewahi kutembelea vivutio vingi
vya utalii duniani lakini huenda hukuwahi kubahatika kufika wala kusikia
kuhusu maziwa haya mazuri ya kuvutia yenye muonekano wa umbo la moyo
au kopa. Hii ni stori ambayo nimekutana nayo mtandaoni mtu wangu wa
nguvu, hivyo nikaona sio vibaya September 22 nikakusogezea karibu yako
Top 10 ya maziwa yenye muonekano wa moyo duniani. Chanzo cha hii stori
ni World – World Top Top. Huu ni muonekano wake kwa juu
1- Ziwa Shimshal – Pakistan
2- Gaislacher See – Austria
3- Heart Lake – Canada
4- The Coeur de Voh – New Caledonia
5- Crater – Uturuki
6- Heart Lake – Urusi
Lipo Urusi na inatajwa kama unataka kuona muonekano wake kwa juu utatumia masaa 5 kupanda kilele cha mlima Cherskogo
7- Hili ni bwawa lipo USA (Marekani)
8- Chicago – Colorado – USA
Sio lazima ulitazame kwa juu ili ujue kama lina umbo la moyo hata kwa chini ukitazama Chicago linaonekana kuwa na umbo hilo.
9- Aral Sea – Kazakhstan
10- Eros – India
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment