Diego Costa na Gabriel washtakiwa na FA
Mshambuliaji wa
Chelsea Diego Costa ameshtakiwa kwa madai ya kutaka kuzua ghasia ambayo
hayakuonekana na maafisa wa mechi hiyo lakini ambayo yalinaswa katika
ukanda wa video.
Mshambuliaji huyo alihusishwa katika kisa na beki wa Arsenal Laurent Koscielny katika dakika ya 43 ya mechi.Vilabu vyote viwili pamoja na Gabriel hadi saa kumi na mbili jioni siku ya Alhamis kujibu mashtaka hayo.
Kwa habario, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment