WENGER, FERDINAND, WAMSHAMBULIA DIEGO COSTA
Wenger
amemponda mwamuzi Mike Dean kwa kile alichosema alimuogopa Diego Costa
ambaye alistahili kupewa kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya mlinzi
mwingine wa Arsenal Laurent Koscienly lakini Mike Dean akaishia kumpa
kadi ya njano.
Alan
Shearer amemlaumu Paulista kwa kuingia katika mtego wa tabia za Diego
Costa na kusababisha kutolewa nje kwa kadi nyekundu. Katika mechi hiyo
ambayo Arsenal walifungwa mabao 2-0 iliisha kwa Arsenal kuwa pungufu ya
wachezaji wawili mara baada ya Saint Carzola nae kuoneshwa kadi
nyekundu.
Watu
wengi nchini England wanataka kuona FA ikichukua hatua dhidi ya Diego
Costa ikiwa ni pamoja na kumfungia pamoja na kwa tabia zake za
kuwatupia makonde wapinzani pamoja na mchezo wake usio wa kistaarabu.
Kwa habari, matukio na michezo ni jhapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment