
Wanasayansi wamefanya hesabu na
kugundua kuwa buibui wote walio katika sayari ya dunia, hula kati ya
tani 400 na 800 ya wadudu kila mwaka.
Watafiti hao walikuwa wakichunguza umuhimu wa kiuchumi wa buibui.
Wanasema
kuwa hamu yao ya kula inamaanisha kuwa wanakula karibu kiwango kimoja
cha nyama na samaki ambayo huliwa na binadamu kila mwaka.
No comments:
Post a Comment