
Mshambuliaji wa Manchester United
Marcus Rashford atatajwa kwenye kikosi cha meneja wa England , Gareth
Southgate siku ya Alhamisi.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 19
hapo awali alitarajiwa kushirikishwa katika upande wa vijana mwenye
chini ya umri wa miaka 21 watapokuwa wakicheza mechi ya kirafiki dhidi
ya Ujerumani na Denmark wikendi ijayo.
Lakini na washambuliaji wa
England HarrRy Kane na Wayne Rooney wote wametolewa kutokana na
majeraha , huko Rashford akitarajiwa kuchukua nafasi hiyo.
England
itakabiliana na Ujerumani katika mechi ya kirafiki kabla ya mchuano wa
Kombe la Dunia dhidi ya Lithuania huko Wembley tarehe 26 mwezi Machi
.
No comments:
Post a Comment