Mwili huo ulitolewa kwa Korea Kaskazini kama sehemu ya makubaliano ambapo raia 9 wa Malaysia, waliizuiwa kuondoka Korea Kaskazini waliwasili nyumbani.
Nchi hizo mbili zimekuwa kwenyr mzozo wa kidiplomasia kufuatia mauaji ya Kim, kwenye uwanja wa Kuala Lumpur mwezi uliopita.
Nchi hizo mbili zimekuwa kwenyr mzozo wa kidiplomasia kufuatia mauaji ya Kim, kwenye uwanja wa Kuala Lumpur mwezi uliopita.
Kila nchi ilikuwa imewapiga marugufuku raia wa nchi nyingine kuondoka.
Raia watatu wa Korea Kaskazini wameruhusiwa kuondoka malaysia, kwa mujibu wa mkuu wa polisi wa nchi hiyo.
Korea Kaskazini inashukiwa pakubwa kuhusika kwenye kifo cha Kim, kwa kutumia kemikali akiwa uwanja wa Kuala Lumpur.
BBC
No comments:
Post a Comment