Wachina na balaa zao yani, utakubali kuishi ndani ya ghorofa lililojengwa kwa siku 19 tu?
Zhang Yue amekamilisha kazi ya Ujenzi wa Jengo la Ghorofa lililopewa jina la Mini Sky City ndani ya China, Jengo hilo lina urefu wa Ghorofa 57 na kazi yote imekamilika kwa muda wa siku 19 tu !!
Wachina hawana utani, kazi ilipigwa mchana na usiku… Zhang alivyosimamia huo ujenzi wake ulioiweka China kwenye headline nyingine !!
Vipi ikitokea unatakiwa kuishi ndani ya mjengo huo utakua na amani mtu wangu?
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekucha blog
No comments:
Post a Comment