Watu 27 wameuawa hotelini Tunisia
Maafisa
wa Serikali ya Tunisia wamesema kuwa mtu mmoja ameuawa
kwa kupigwa risasi na maafisa wa ulinzi na kuwa waliosalia bado
wanasakwa na polisi.
Shambulio hilo lilitokea katika mji wa Sousse, ambao huwavutia maelfu ya watalii kutoka bara Ulaya na Afrika ya Kaskazini.Kwa habari matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment