Ujumbe wa kwanza aliopost Peter Cech baada ya kusajiliwa rasmi Arsenal
Cech amesaini mkataba wa miaka minne na Arsenal, na atakuwa analipwa kiasi cha £100,000 kwa wiki, na anaweza kuanza kuichezea Arsenal vs Chelsea katika mchezo wa ngao ya hisani.
Muda mfupi baada ya kutambulishwa na Arsenal, Cech alitumia mtandao wa Twitter kuwaandikia ujumbe maalum kwa washabiki wa Chelsea na kuwaaga.
No comments:
Post a Comment