Headlines nyingine ni China na dawa za kulevya, hawana utani kwenye hii ishu !!
Nyingine ni kwamba kumbe idadi ya watu
wanaotumia dawa za kulevya imefikia watu Milioni 1.4 ndani ya nchi hiyo,
alafu kumbe dawa wanazotumia ni kemikali na vidonge ambavyo
vimatengenezwa kwa matumizi mengine tu, wao wanatumia kama dawa za
kulevya !!
Leo imenifikia nyingine, Jimbo
la Guizhou China jana hiyohiyo wameteketeza dawa za kulevya ambazo zina
uzito wa kilo 1,200.. Hiyo imefanyika siku tatu baada ya Maazimisho ya
siku ya Kupambana na dawa za kulevya China.
China wako serious kabisa kwenye mapambano na dawa za kulevya, ukikamatwa nazo ni ishu.. na wakizikamata hawaziachii pia !
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment