Air Force One ni ghali mno?2016
Lakini mbona ndege hiyo maarufu zaidi duniani ni ghali mno? inayopewa ndege ya kijeshi ambayo wakati huo umembeba rais.
Ndege ya sasa, ilianza kutumiwa miaka ya tisini na muda wake wa kutumika unaelekea kikomo, kwa hivyo ndege nyingine aina ya Boeng 747 -8 imeagizwa na jeshi la Marekani
Ukisema kuwa rais anasafiri kwa ndege ya 747-200 haileti picha kamili. Air Force One haswa ni iina ya ndege ya kijeshi ya VC-25A.
Muundo wake umechorwa kwa njia maalum na kuiwezesha ndege hiyo kuwa kama makao ya rais ikiwa Marekani itashambuliwa
No comments:
Post a Comment