UEFA: Arsenal v Bayern Munich; Man City v Monaco; Leicester v Sevilla

Walimaliza wa pili nyuma ya Bayern katika hatua ya makundi msimu uliopita.
Leicester City, mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England, wana kibarua dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi ndogo ya Ulaya, Europa League Sevilla ya Uhispania.
Wapinzani wa Manchester City Monaco walilaza Tottenham mara mbili katika Kundi E.
Droo kamili:
- Manchester City (Uingereza) v Monaco (Ufaransa)
- Real Madrid (Uhispania) v Napoli (Italia)
- Benfica (Ureno) v Dortmund (GER)
- Bayern (Ujerumani) v Arsenal (Uingereza)
- Porto (Ureno) v Juventus (ITA)
- Leverkusen (Ujerumani) v Atlético (Uhispania)
- Paris (Ufaransa) v Barcelona (Uhispania)
- Sevilla (Uhispania) v Leicester (Uingereza)
No comments:
Post a Comment