Lakini ikiwa utapima umaarufu kwa uzalishaji kote duniani, embe liko nyuma ya tufaa nahata ndizi.
Kuna zaidi ya tani 100 za ndizi ambazo huzalishwa kila mwaka huku India ikiwa ndizo mzalishaji mkuu
Wengi huchukulia nyanya kama mboga lakini ukweli ni kwamba nyaya na tunda kwa sababu ina mbegu hali ambayo huiweka katika familia ya tunda.
Kuna zaidi ya aina 20,000 ya nyanya duniani.
La Tomatina ni sherehe ambazo huandaliwa kila mwaka kwenye mji mdogo wa uhispania wa Bunol.
Wakati wa sherehe hizo karibu watu 40,000 hurushiana nyanya.
No comments:
Post a Comment