Watengeneza Pizza watakiwa kusoma zaidi Italia
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na shirika la habari la Rai,Taaluma hiyo itajumuisha kozi zitakazosomewa kwa jumla ya saa mia moja ishirini itakayo muezesha mwanafunzi kufuzu kwa Diploma.
Katika mapendekezo hayo , wale wanaopania kuwa Pizzaoli wanastahili kupasi mitihani wa kinadharia na wa kivitendo baada ya kusomea sayansi ya chakula,usafi na lugha za kigeni msisitizo zaidi ukipewa lugha ya kiingereza.
No comments:
Post a Comment