Mji wa Hong Kong ndio ghali zaidi duniani
Mji wa Hong Kong
ndio mji ghali zaidi duniani baada ya kuupiku mji wa Luanda, Angola
kulingana na wafanyakazi wa kimataifa katika utafiti wa kila mwaka
unaofanywa na shirika la Mercer.
Luanda ambao ulikuwa unaongoza orodha hiyo katika siku za hivi karibuni ulishuka kufuatia kudhoofika kwa sarufi yake.Mji wa Tokyo sasa umepanda hadi nafasi ya tano.
BBC
No comments:
Post a Comment