India yazindua smartphone ya bei rahisi zaidi duniani
Unapoibeba kwenye mkono utahisi umebeba simu ya kampuni ya Apple aina ya iPhone 5.
Na kulingana na bei yake ina programu za kuvutia.
- Kamera ya mbele na nyuma.
- Ina upana wa nchi nne.Ina programu ya Quad-core inayotoa nguvu ya operesheni ya simu hiyo lakini haitumii betri yake mara nyengine.
Hatahivyo ni vigumu kuipima uwezo wake kwa kuwa ina programu chache ambazo hufanya kazi za kawaiada.
BBC
No comments:
Post a Comment