Kunguni wavamia matatu Nairobi
Magari mengi ya
usafiri jijini Nairobi, Kenya, maarufu kama "matatu" yana kunguni, kwa
mujibu wa gazeti la standard la nchi hiyo.
Kondakta mmoja
anaripotiwa kuliambia gazeti la Standard, kuwa wadudu hao wanatishia
kuharibu biashara ya kutoka na sababu kuwa watu wengi uhofia kupanda
"Matatu"Sasa wahudumu wa sekta ya usafiri jijini Nairobi, wameanzisha kampeni ya kuangamiza kungunu hao kwa kunyunyiza dawa na pia kuwataka abiria kutoa habari ikiwa wataona wadudu hao.
BBC
No comments:
Post a Comment