Korea Kusini kurejesha vyoo vya kale
Mamlaka katika mji mkuu wa Korea Kusini, Seoul, imebadili sera zake kuhusu vyoo vya umma.
Utafiti uliofanywa ulibaini kuwa robo ya watu weote waliohojiwa walitaka kuwepo vyoo vya kale vyenye shimo badala vya kisasa.Vyoo vya kale nchini korea kusini vilikuwa vya kuchuchumaa
BBC
No comments:
Post a Comment