Update: Baada ya walioteuliwa tatu bora ya Urais CCM kusimama kwa dakika 15
Baada ya hayo kutoka kwenye ukumbi mpya wa
mikutano wa CCM hapa Dodoma, mpango wa upigaji kura kumchagua mmoja kati
ya hawa watatu ulishaanza ambapo Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM
Jakaya Kikwete aliahirisha mkutano huu mpaka saa nne asubuhi ya July 12
2015 ambako mwakilishi mmoja anaesubiria anatarajiwa kutangazwa.
No comments:
Post a Comment