Van Gaal amzungumzia Ramos, na pia amedokeza juu ya usajili wa mshambuliaji mpya Man Utd
Zikiwa zimebaki wiki takribani wiki 5 kabla ya dirisha la usajili barani ulaya halijafungwa, kocha wa Manchester United – Louis van Gaal amesema kwamba klabu yake ipo sokoni kutafuta mshambuliaji wa kumsajili kabla muda wa usajili haujaisha – huku akisisitiza mchezaji anayemtaka bado hajaandikwa na vyombo vya habari.Kwa habari ,matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment