Umewahi kukutana na beach zilizopo ndani ya majengo?, hapa ninazo hizi 12 kali kabisa..

Uliwahi kufikiria kuna beach zinajengwa ndani ya majengo? katika
nchi nyingi zilizoendelea hilo ni jambo la kawaida kuwepo kwa fukwe za
kupumzika ndani ya majengo makubwa.

Fukwe
ya ndani inayoongoza kwa ukubwa zaidi duniani, inapatikana
Ujerumani..ukubwa wake ni sawa na viwanja nane vya mpira wa miguu

Krausnick Indoor Beach, kutoka Ujerumani.

Indoor Rainforest beach-Berlin

Sand Indoor beach-Newyork

Venus Fort ipo Tokyo,Japan

Sheraton Seagaia Resort-USA

Indoor Beach Resort, ipo Ujerumani

Tropical Holiday Resort, ipo Ujerumani

Waterparks ipo Canada

Bali-Pavillon Tropica-Texas

New Century Indoor beach, ipo China

Indoor Beach – Tropical Island Resort-
Kwa habari ,amatukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment