Unatamani kujua nchi zinazoongoza kwa matukio ya ubakaji duniani? ninazo hapa
Bado matukio ya ubakaji yameendelea kushika kasi katika nchi mbalimbali duniani licha ya kuwepo kwa sheria za kuwabana wahusika.
Hapa kuna hizi nchi 10 ambazo zinaongoza kwa matukio ya ubakaji duniani.
1. Afrika Kusini
Afrika
ya Kusini ndio nchi yenye idadi kubwa ya kesi za ubakaji duniani
wanazofanyiwa watoto wa dogo..mwaka 2000 jumla ya kesi 67,000
ziliripotiwa.
3. Lesoth
33% ya wanawake walibakwa wakiwa na umri wa miaka 18 huku kukiwa na 66% ya kesi za ubakaji kila mwaka
Kasi
ya ubakaji kwa wasichana chini ya miaka 18 imekuwa ikiongezeka..Ripoti
ya UNICEF imesema msichana mmoja kati ya watatu hubakwa na kuchangia
uwepo wa maambukizi ya VVU kwa wingi
Nchi
hii ipo mpakani mwa Uingereza..imekua na matukio mengi ya ubakaji hadi
kupelekea wanawake kutengewa sehemu yao kuepuka vitendo hivyo
Tangu mwaka 2005matukio ya ubakaji yamekua yakitokea na hayabadiliki licha ya kupitishwa sheria kali
8. Costa Rica
9. Nicaragua (America ya Kaskazini)
Hiki
ni moja ya visiwa masikini duniani lakini kinaongoza kwa matukio ya
ubakaji kwa asilimia kubwa.. kinapatikana Amerika ya Kaskazini
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment